Gallery
Sekta ya burudani nchini Kenya ina wanawake wengi warembo kupindukia ambao mara nyingi wameonekana kutamanisha macho, hasa ya wanaume. Kutoka kwa watangazaji ka
Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi warembo sana, ambao wanahesabu kuwa ni Baraka na jambo la kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wenye sura nzuri na wenye mvuto. Pamoja na ukweli huu, ni wazi na imethibitika kwamba wako wanawake ambao wanahesabu kuzaliwa warembo ni mojawapo ya laana au mkosi kwasababu ya zile hali ambazo wamezipitia hususani katika mahusiano yao ya kila siku na wanaume.
Mara kwa mara kumekuwepo na tabia ya wanaume kutamani sana kuwa kwenye mahusiano na wanawake warembo, na hupenda kuwatongoza hao mara kwa mara ingawa moyoni mwao wanawaangalia warembo hawa kama wasichana wa kula nao raha tu “
Pamoja na uchunguzi huu na ukiangalia hali halisi ya maisha yetu ya kila siku tena katika jamii tofauti utagundua kwamba wanaume kiu yao sio kuoa wanawake wenye umaarufu, au wenye kujulikana sana, au walio warembo kupindukia, bali wanaume wanapotaka kutafuta mke wa kuoa wanaangalia tabia na haiba zilizojificha, wanauliza tabia ya huyo msichana, wanataka kujua anavyohusiana na watu, wataangalia nyendo zake kuanzia wakati anasoma.
Kama kuna kitu ambacho Kenya inafaa kujivunia katika sekta ya burudani ni wanawake wenye sura nzuri.
Ni mwenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro, hivi karibuni ameingia kwenye msala na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) baada ya video yake ya muziki ambayo inaonyesha sehemu kubwa ya maungo ya mwili wake kuwa wazi, ambayo ni kinyume na maadili ya Tanzania, lakini Rosa Ree ni mmoja kati ya wanawake ambao wanaisogeza gemu ya muziki wetu wa Tanzania mbali Kimataifa kutokana na kujituma pamoja na kazi zao kukubalika hasa nje ya Tanzania, jambo ambalo linasaidia kuuweka kwenye ramani ya dunia muziki wa Bongo Fleva kutokana na kufanya kolabo zake baadhi ambazo amezifanya kipindi cha nyuma na zikamfanya akae kwenye ramani nzuri ya muziki, kolabo hizo ni kama ile aliyofanya na mkali kutoka Sauz anayekwenda kwa jina la EMTEE ngoma iitwayo Way Up.
Miongoni mwa watu wa Bara hili wapo wasichana warembo wa kuvutia tofauti na wengine, katika hili kuna mjadala mpana huku baadhi wakikubali kuwa kuna watu wanaovutia kuliko wengine huku baadhi yao wakidai kuwa uzuri, urembo wa mtu unatafsiriwa kulingana na anayemtizama.
Kwa miaka miwili mfululizo warembo wa Nigeria wanashikilia nafasi ya saba.
Nchi hii imewapa jina warembo wake “Upinde wa Mvua wa Taifa”. mwaka huu imepanda nafasi moja kutoka nafasi ya sita iliyoshika mwaka jana.
Ni miongoni mwa nchi zenye wasichana warembo wa kuvutia katika Bara la Afrika. Miji ya Cape Town, Johannesburg, Pretoria na Durban ndiyo yenye wanawake wenye mvuto. Wanawake wa Afrika Kusini wanang’aa na kuvutia kutokana na ngozi zao nyororor.
Wanaume wao hujivunia kwa kuwaita “Tufaa Lililojificha”, mwaka jana nchi hiyo ilishika nafasi ya kwanza kwa kuwa na wanawake warembo, mwaka huu imekamata nafasi ya nne.



















