Gallery
Download Picha za Warembo apk 1.0 for Android. Tazama picha za warembo wakali kupitia Picha za Warembo App
TUKO.co.ke ilibainisha picha 16 za wanawake kama hao ambao huwafanya wanaume kupinda shingo wakiwatazama na wengine kukosa usingizi.
Alipokuwa akizindua mashindano hayo, Bw Kiwanda alisambaza mabango yenye picha ambazo Bi Msalame anadai ni zake, na kuwataka wanawake wa Uganda wenye umbo kama la Mkenya huyo kushiriki kampeni hizo ambazo shabaha yake ni kuvutia watalii kuzuru Uganda.
Katika taarifa yake Alhamisi, Bi Msalame alijitenga na mashindano hayo akisema yanadunisha hadhi ya wanawake na kuwa matumizi ya picha zake yamemkera sana.
“Nimeudhika sana kwa picha zangu kutumika kueneza dhuluma dhidi ya wanawake. Sikubaliani kamwe na dhana kuwa mwili wa mwanamke unaweza kugeuzwa kuwa kivutio cha kitalii,” alisema Bi Msalame katika taarifa yake kwa vyombo ya habari.
Hatua ya Wizara ya Utalii nchini Uganda kutumia picha ya Mkenya katika mashindano hayo imewakera pia raia wengi wa Uganda waliolalamika kuwa huko ni ‘kukosewa heshima’ na serikali yao.



















