Gallery
Download Warembo Waliopendeza Zaidi Mlimani City Kwa Zuchu Mp4 & 3gp HD, Download Warembo Waliopendeza Zaidi Mlimani City Kwa Zuchu Mp4, Video Mp4 And Video 3GP Latest, Download Warembo Waliopendeza Zaidi Mlimani City Kwa Zuchu As mp4 and 3gp video for free from our website to your mobile phones / Desktop Computer. Download Warembo Waliopendeza Zaidi Mlimani City Kwa Zuchu, you will love it cos it is really interesting.
Download And Enjoy… DOWNLOAD MP4 Warembo Waliopendeza Zaidi Mlimani City Kwa Zuchu .mp4 And More Nollywood, Hausa/Kannywood, Yoruba, Nigerian Films/Movies Download Warembo Waliopendeza Zaidi Mlimani City Kwa Zuchu.3gp .mp4 .flv .3gpp format.
Ni mwanamtindo mashauri tanzania. Aligonga vyombo vya habari hivi majuzi baada ya kuonekana na diamond platnumz kwenye tamasha ya Zuchu. Wawili Hawa walivaa share na wengi walifikiria labda atakuwa mpenzi mpya wa diamond ila hadi sasa bado hatujaona matokeo. Jihan dimack anatufungulia orodha yetu ya wanawake warembo Tanzania.
Ni mwanamke shupavu na kama kuna mwanamke aliwahi kumkoshesha usingizi Zari Hassan basi ni hamisa Mobetto. Pia yeye ni mwanamtindo ila kwa sasa anajihushisha na biashara tofauti nchini tanzania. Hamisa Mobetto ana mtoto na Diamond Platnumz. Hadi sasa, hamisa Mobetto hana uhusiano mzuri na mamake diamond. Tunapoongelea wanawake warembo, itakuwa sio vizuri tukimkosa hamisa Mobetto kwenye orodha hii.
Aligonga vichwa vya habari wakati wa kunumba. Ni muigizaji hatari sana na Kama ulikuwa shabiki wa bongo flava basi utakuwa unamfahamu mrembo huu kwa jina elizabeth Micheal. Umaarufu wake ulipata dosari alipohusishwa na kifo Cha marehemu kanumba ila kwa juhudi ya wanafilamu na wanasheria, elizabeth Micheal maaruufu kama Lulu’ aliachiliwa huru. Kwa sasa anashighulika na biashara tofauti.
Ni msanii chipukizi ndani ya label ya wasafi. Kwa sasa anawapeleka wasanii wenzake wa kike mbio. Kwa bidii ya wasafi label, zuchu amefikia mbali na kwa sasa anapata wafuasi hata nchi za ulaya. Mziki wake upo kila sehemu na muonekano wake umezidi Kunawili. Zuchu ameingia kwa orodha ya wanawake warembo Tanzania japo hapo mwanzoni alikuwa hajajulikana na wengi.
Kama kuna mwanamke aliwahi kutesa watu na urembo ni wema sepetu. Aliwahi kuwa miss tanzania. Wema sepetu alikuwa mpenzi wake diamond Platnumz. Kusema kweli warembo wengi tanzania washapitia kwa mikono ya Diamond Platnumz. Wema sepetu alichangia sana Sanaa ya Diamond. Wakati wawili Hawa wanakutana, diamond platnumz alikuwa bado hajulikani kwa hivyo tunaweza sema uwepo wa wema sepetu ulimsaidia Diamond maana hiyo mida wema sepetu alikuwa yuajulikana sana.
Kwa mda sasa wema sepetu amekuwa na mapungufu kwenye mwili wake na afya yake kidogo inaonekana kuzua maswali chungu nzima. Kila akiulizwa yuasema aliamua mwenyewe kupunguza uzani. Hapa mwangaza hatuna habari za kutosha kuhusiana na wema sepetu na kadri tutakapozipata tutawajuza kama ilivyo desturi yetu.
Lulu akoshwa na ujumbe wa mtoto wa Zari kwenye birthday yake, tazama sherehe yake ilivyokuwa
Msanii kutoka Tanzania Lulu Diva amejitokeza kumsifia mwanamuziki wa WCB Zuchu kwa kuwa miongoni mwa watumbuizaji bora wa kike katika tasnia ya burudani ya Tanzania. Lulu Diva alikuwa akiongea kupitia taarifa ambayo alichapisha kwenye ukurasa wake wa mitandao ya kijamii ambapo alidai kuwa wanamuziki wengi wa kike walikuwa wakififia.
Hata hivyo, aliendelea kusema kuwa Zuchu alikuwa mwanamuziki mashuhuri wa kike nchini Tanzania kwa kujitolea kwake na bidii katika muziki. Lulu Diva alisema kuwa kuna uwezekano kwamba Zuchu sio mwanamuziki bora zaidi wa kike nchini Tanzania, ila kujitolea kwake kumemfanya awe mfano mwema miongoni mwa wasanii wa kike.
Mwimbaji huyo alidai kuwa wasanii wengi wa kike nchini Tanzania hawawezi kuburudisha hadhira. Kulingana na Lulu Diva, mwanamuziki mwingine wa kike ambaye angeweza kufikia kiwango cha Zuchu alikuwa Shaa.



















