Gallery
Mose Iyobo aeleza sababu ya kuachana na Aunty Ezekiel; Kwa mda sasa Aunty Ezekiel na Musa Iyobo wamekuwa hawapo pamoja na Kulingana na taarifa za hapa na
WCB Dancer Mose Iyobo celebrates his Birthday Today Today Diamond Platnumz dancer, Mose Iyobo celebrates his birthday What Do You…
The ‘Yule’ hitmaker has been hitting headlines, especially after she went public to announce her new relationship with Diamond’s favorite dancer, Mose Iyobo on his birthday. She loves to refer to him as ‘my vanilla macchiato.’
Mose Iyobo amemfananisha mpenzi wake mpya Ruby na Rihanna baada ya siku kadhaa tu kupita tangu waingie kwenye mahusiano ambayo yanatafsiriwa kama ni kisasi kwa mahusiano yao yaliyopita.
Picha ya Msanii Ruby na Mose Iyobo
Wakiwa huko afrika kusini, mose Iyobo na Aunty Ezekiel walianza mazoea hadi ikafikia kuitana mchumba. Baada ya kutoka south africa, wawili hawa walipoteana. Kwa bahati nzuri, Musa Iyobo na Aunty Ezekiel walikuja kupatana tena na hapo ndipo walibadilishana namba za simu.
Wenzake aunty Ezekiel walimfanya kumsaliti Musa Iyobo na inasemekana aunty Ezekiel alianza kutoka na wanaume wengine. Hayo ni machache tu kuhusiana uhusiano na Mose Iyobo na sababu ziliwafanya wawili hawa kuachana.
Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.
Dansa wa msanii Diamond Platnumz, Mose Iyobo amesema amerudiana na mpenzi wake Aunt Ezekiel mwezi mmoja uliopita.
Aunty Ezekiel na Baba watoto wake Mose Iyobo 🙌🔥🔥
Anyway, popular actress Aunty Ezekiel is expecting her second child with her boyfriend, Mose Iyobo, who is a professional dancer at Wasafi. The couple already has a baby girl together and are now waiting for their second child who will be born soon.



















