Gallery
@jijiijuniour kama ww ni dem na unajiona mtamu sana si uende ukalambwe na zuchu😂
Zuchu buana ni msanii mtamu wa Bongo Fleva chini ya Lebo ya Wasafi iliyo chini ya Diamond Platnumz ambaye anasema kuwa mpenzi wake ni tajiri na amezama kabisa kwenye penzi lake.
MWIMBAJI Zuchu kutoka Lebo ya Wasafi chini ya Diamond Platnumz anazidi kuwaka na kuwa mtamu zaidi.










