Gallery
Mara nyingi wanaume wengi hupenda ama kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa.
Wasanii wakubwa wa muziki nchini Nigeria, Tiwa Savage na Yemi Alade wameingia kwenye vita ya maneno mitandaoni baada ya kurushiana vijembe kuwa mmoja wao anaweka picha ‘fake’ kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Hata hivyo, Tiwa Savage hakuchukua muda mrefu kumjibu Yemi Alade, ambapo alitoa jibu moja kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “
Tiwa baada ya posti hiyo, aliendelea kuporomosha mipicha kibao kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuweka captions zilizomlenga moja kwa moja Yemi Alade.
Katika kukazia ishu hiyo, Tiwa Savage ameeleza kuwa kamwe hatomjaji msichana yeyote yule katika maisha yake. Hata kama angekuwa na makalio au matiti feki, aidha ni mnene, mfupi au mwembamba. Kwa sababu hajui dhumuni la mtu huyo kuwa hivyo.
Mashabiki kwenye mitandao ya kijamii, wameeleza kuwa Yemi Alade amekuwa na wivu wa mafanikio ya Tiwa Savage kwa mwaka 2018, ikiwemo tuzo za kimataifa alizoshinda na ndio maana amekuwa akimrushia vijembe.
Yemi alade has always been jealous of Tiwa savage
We are here talking about Tiwa Savage and Yemi Alade while they are working on a new song. Tiwa Savage ft Yemi Alade – Yansh
Nigerian singer and Afro-pop Queen, Tiwa Savage has put a hush on the lips of fans who fuel rivalry with her colleague Yemi Alade. Yemi Alade and Tiwa Savage bear no grudges with each other, contrary to rumours. The two Nigerian stars exploded the rumour on Monday night when Alade joined Tiwa at her Everything…
Tiwa savage u foolish…….1st to comment…..
Is this madness or what tiwa savage you disappointed me in a big way










