Gallery
SUKUMA YOTE 1 SEHEMU YA KWANZA. Naaamh karibu katika chombezo yetu nzuri sana ya mapenzi,ambapo huku utajifunza mambo mengi kuhusu mahusianoo aaaahhh baby tamu sanaaaaaaaa. ok sasa tuanze. Binti mmoja alieiwa Zaituni,hakuwa na maisha mazuri huko kijijini kwao,hiyo ni baada ya kumaliza elimu yake ya sekondari lakini hakuweza kuendelea na masomo kwani hakufaulu mitihani yake,ndipo…
SUKUMA YOTE 1 SEHEMU YA KWANZA.
Mambo ya kustaajabisha kuhusu wanyama, tumeangalia kwa ukaribu zaidi mpango wa uzalishaji unaofahamika kama Semelparity au kwa jina lingine uzazi wa kujitoa uhai, mara nyingi wanyama wengi huwekeza nguvu zao nyingi kwenye kuzaliana kabla ya kufa.
Mmoja kati ya wanyama wa kipekee ni panya mdogo aina ya antechinus wanaopatikana huko nchini Australia, mnyama huyu mwenye sifa za kujamiana kwa muda wa saa 14, hali hii inapomtokea kinga ya mwili inaanza kudhoofu na hata kupelekea kifo chake.
Pengine unaweza kuita kujitoa mhanga kwa mzazi, Panya hawa aina ya ‘Antechinus’ hufariki katika mazingira hayo huku wakifahamu kuwa wameacha mbegu na kuzisambaza mbali zaidi.
“Jambo kubwa hapa ni kwamba spishi hizi zinapokutana huzaa watoto wengi zaidi,” Amesema Jeyaraney Kathirithamby, Mtaalamu wa entomolojia katika chuo kikuu cha Oxford.
Kwa mfano, vimelea vyenye kutofautiana mfumo wa Strepsiptera, wanawake huzalisha kati ya mabuu 1,000 hadi 750,000 katika tendo lao moja walilokutana.
Sehemu pekee ya mwili wao ambayo hutoka kwenye mfereji wa mwili wa mdudu aliyekufa ndio hupitishia watoto, njia iliyowazi inamuwezesha mwanaume kupandikiza kwa wakike na mabuu kutoka nje. (Uhusiano: “Upendo wenye mahangaiko: Vimelea vya Kiume unavyowakamata wa kike shingoni kwa kutumia maumbile ya kiiume,”)
Nyuki wa kiume wanaoishi kwa saa nane, ambao huruka akiwa na nyuki jike na hujamiana mpaka kifo kinapowatenganisha, Kathirithamby anasema kwamba, Baada ya mabuu kutoka ndani ya mwili wa mwanamke naye pia hufa.
Samaki wa kipasifiki hufa tu baada ya kuzaa-spishi wa chinook husifika kwa kutotolesha mayai mpaka 5,000.
Mikunga kutoka Amerika hutoa mayai mpaka milioni 30 kwa wakati muda mmoja, lakini maisha yao ya kuzalishana bado ni kimaajabu, anasema John Casselman, Mhadhiri wa chuo kikuu Ontario huko Canada.





