Gallery
Joseph na Adella Msami, tarehe 4 Septemba 2011 imekua siku ya kumbukumbu kwao kwa kufunga ndoa. Joseph Msami aliwahi kuwa mtangazaji wa Radio ya kikristo WAPO radio 98.0 Fm, kwa sasa ni mtangazaji wa TBC 1 Taifa. Pichani Martha Mwaipaja akiimba wimbo wake "Kwa msaada wa Mungu tutashinda ya dunia" ambapo Joseph Msami na mkewe…
Picha ya Barakah The Prince na mzazi mwenziye Careen Simba
Picha ya msanii wa filamu Steve Nyerere
Albamu ya Martha Mwaipaja ambayo inajulikana zaidi ni
Rushwa: hii yaweza kuwa kumpendelea ndugu yako au rafiki yako hasa pale akukutapo wewe ukiwa na nafasi ya kuweza kumsaidia haraka. Wapendwa wengi hujikuta wametoa rushwa kwa kuamua kumsaidia rafiki,mpendwa au ndugu kupata huduma haraka kwa kigezo cha upendwa. Mfano kama wewe ni Daktari umeokoka, akaja mchungaji wa kanisa lako akakuta kuna mstari mrefu wa watu wanaokusubiri uwape huduma, Je utamwambia mchungaji asubiri kwenye mstari kama wengine au mchungaji mwenyewe yuko tayari kusubiri kwenye mstari huku akijua Daktari ni muumini wake? Hapa wote hujikuta wamefanya dhambi ya rushwa ya kujuana. Rushwa hii ya kujuana inawatafuna wapendwa wengi na imeenea hata serikalini kiasi kwamba hakuna kiongozi wa kumkemea mwenzake afanyapo uovu. Hata makanisani pia dhambi ya rushwa ya kujuana imeharibu makanisa yetu mengi yaliyokuwa ya kiroho na yamebakia kama picha tu.
Dhambi nyingine za sirini (ambazo sitashangaa kusikia zipo makanisani mwetu) ni hizi zifuatazo: uzinzi, utoaji mimba, kuuza dawa za kulevya, kuomba misaada nchi za nje kwa nia ya kusaidia wasiojiweza na kuamua kutumia tofauti na lengo, wizi, uongo, uchoyo, ushirikina, kutorudisha chenji uliyorudhishiwa na kondakta wa basi au muuza duka, kutotimiza ahadi, kukopa na kudai kuwa utamrudishia mpendwa keshokutwa lakini hadi leo hujalipa deni, Kuandika miradi hewa, kuchelewesha mishahara ya Housegirl au houseboy, au wafanyakazi wako, dharau, kukasirika ovyo, kununanuna, kucheza bahati na sibu, kuangalia picha za ngono, kuinung’unikia serikali, kutosaidia yatima/wajane, kukaa na rundo la nguo nyingi sandukuni mwako bila kuzivaa (kama unazo nguo zaidi ya pair saba unatakiwa kutubu kwani kuna watu wengi ulipaswa kuwasaidia mavazi ila kwa kujipenda nafsi yako tu huwapi maskini walioko vijijini au mijini nguo zako), kujichua, kuvuta sigara, kukwepa kodi ya serikali, kufanya biashara bila leseni, n.k.
Lakini pia wengi wetu tuliong’ang’ana na ushuhuda wake tumetoa sababu ya msingi kwamba ushuhuda huo haumjengi mtu ambaye bado ni mchanga kiroho na kwa kweli si ushuhuda wa kujivunia. Ni ushuhuda unaotoa picha kwamba hata kama mtu amempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake bado hawezi kuzishinda tamaa za mwili, bado anaweza kuendelea na maisha ya gizani. Ushuhuda wa namna hiyo unamtukuza zaidi shetani kuliko Yesu aliyemuokoa mtu huyo, na mtu mchanga kiroho anaweza kusema ‘kumbe hata baada ya kuokoka naweza kuendelea kuishi maisha ya siri(gizani) bila shida yoyote’.
Kujichua/Punyeto navyoaamini mimi hakuanzi katika mwili! La hasha…ni mawazo ya tamaa…..yanayoaanza moyoni…inawezekana kwa kumfikiri mwanamke……kuangalia picha za ngono au zenye mwelekeo huo…..mawazo yasiyo na mwelekeo wowote ule ….aimlessly na mwisho wake tendo lenyewe!
Ndugu yangu Milinga lazima ujue kuwa mtu alivyo kwa ndani ambako ndiko dhambi huchimbukia ndivyo alivyo pia kwa nje. Ukisoma Methali 23:7a inasema “Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo….” Lakini pia kuijua dhambi inayokusumbua na kukukwamisha kuishi maisha ya ushindi ni hatua kubwa sana katika kuishinda dhambi hiyo. Hakuna kitu kibaya kama mtu kutokujua kuwa anatenda dhambi au kuna dhambi inamnyemelea, na kwa maana hiyo mtu huyo hawezi hata kujisalimisha kwa Bwana ili aweze kuishinda dhambi hiyo.
Kama vijana leo wanasumbuliwa uzinzi…..wamefungwa na kuangalia picha chafu za ngono……..kutawaliwa na kujichua (punyeto) au dhambi yoyote ile, jibu ni moja tu Warudiae kanuni za kushinda dhambi (ambazo ziko ndani ya Biblia)Na KAMA HUKUTEMBEA KATIKA UTAKATIFU KABLA YA HUJAOA HATA UKIOA TATIZO LINABAKIA TU! Na kama hili ndio tatizo linasumbua vijana wengi hii inatoa picha kamili juu ya upungufu wa mafundisho yaliyoko kanisani leo! Ambayo hayana msisitizo kabisa wa jinsi ya kuishi maisha matakatifu………..
mpendwa barikiwa sana usisahau kushare na kusubscribe. ni siku kuu ni wimbo unaozungumzia ilivyo siku kuu kila mtu akioshwa dhambi zake mungu ufurahi tuoshwa dhambi zetu evgodfreywilliam #nyimbozakuabudu #tenzi ni siku kuu siku ile ya kumkiri mwokozi! moyo umejaa tele kunyamaza hauwezi ni siku kuu siku ile, ya kumkiri mwokozi! moyo umejaa tele, kunyamaza hauwezi. siku kuu! siku kuu! ya kuoshwa dhambi zangu mpendwa barikiwa sana, share ,like, comment and subscribe. ni siku kuu, siku ile ya kumkiri mwokozi moyo umejaa tele kunyamaza hauwezi. kiitikio: siku kuu ,siku kuu, ya kumkiri mwokozi 36 ni siku kuu 1 ni siku kuu, siku ile, ya kumkiri mwokozi, moyo umejaa tele, kunyamaza hauwezi. chorus: siku kuu! siku marthamwaipaja #gospellyricsofficiall subscribe my channel artist ➡ martha [1] ni siku kuu siku ile ya kumkiri mwokozi moyo umejaa tele kunyamaza hauwezi [chorus] hukesha na kuomba tu ananiongoza


















