Gallery
Zuchu -Mwambieni Mp3 Download and Lyrics: Tanzanian pop singer has release another hit song this January 2022 title Mwambieni mp3 .
Speaking during an interview at Wasafi FM, Zuchu noted that in April, she hopes to release a mini documentary that will narrate her music journey, detailing her struggles to becoming one of Tanzania’s biggest music stars.
“Mwezi wa nne nitaachia Mini Documentary yangu ambayo watu watafahamu nilipotoka mpaka hapa nilipofikia, harakati zangu zote,” she said in part.
In a video shared by Diamond, President Magufuli hailed Zuchu for her patriotic song ‘Tanzania ya Sasa’, adding that he loves and listen to her music.
“Wimbo zenu ninazidhamini sana, ninazipenda, ninaziheshimu, ninawashukuru sana kwa burudani zote hizo ambazo mumeimba mpaka hata za Zuchu mimi nazisikiliza,” he said.
Zuchu aliachia albamu ya kwanza iliyotambulika kama
Mwezi Julai ndio huu unazidi kukatika na mashabiki wa muziki kutokea nchini Tanzania wameendelea kuwapa ushirikiano wasanii kwa kusikiliza muziki kwenye majukwaa tofauti tofauti ikiwemo YouTube. Ukweli ni kwamba pamoja na nyimbo nyingi kuachiwa wiki hii, zifuatazo ni nyimbo tano ambazo zinavuma sana kuliko nyimbo nyingine zote kwenye mtandao wa YouTube nchini Tanzania.
Akiiwakilisha vyema bendera ya WCB, mwanadada Zuchu kwa wiki ya tatu mfululizo ameendelea kushika usukani kwa kuwa namba moja kwenye mtandao wa YouTube. Kufikia sasa ‘Nyumba Ndogo’ ambayo video yake ilitoka Julai mosi mwaka huu imeshatazamwa mara Milioni 5 nukta tano na idadi hiyo inategemewa kuongezeka kadri siku zinavyoenda.
Hayo ni mashairi ya ngoma yake ambayo inasumbua pale YouTube.Zuhura Kopa ‘Zuchu’ ni zao jipya kunako lebo kubwa ya muziki Bongo ya Wasafi Classic Baby (WCB), ambalo limefanya maajabu kwa muda mfupi.
Sasa Zuchu amekuwa msumari wa moto kwa Darleen na anatishia kukalia kiti cha first lady kufuatia kufanya wandaz na kuweka rekodi nyingi kwenye Bongo Fleva.Amefanya poa na ngoma kali zote za Wana, Kwaru, Raha, Ashua, Mauzauza, Hakuna Kulala na Nisamehe na zote zikiwa ndani ya extended playlist yake (EP).
Baada ya kuachia ngoma hizo ambazo zimejikusanyia watazamaji zaidi ya milioni 10 kwenye YouTube, Zuchu ameendelea kutikisa baada ya kupata tuzo ya kufikisha subscibers (wafuasi) laki moja na kumfanya kuonekana kama msanii wa kwanza wa kike aliyetazamwa na watu wengi kwa muda mfupi.


















