Gallery
Viwango vya Australia na New Zealand vinakamilishana na katika hali nyingi hurejelea viwango vya KE (British Standard) na ISO (International Standardization). Australia…
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani huyo dada ni Mtanzania? Mbona anaimba akiwa nusu uchi? Acheni kuiga wazungu! Britney aliyekuwa anavyaa hivyo haheshimiki tena!
RC jina lako kubwa but unaniboa sana unapokaa nusu uchi. Kumbuka hupendezi na hupendwi kwa kuonyesha ulimbukeni wa mchoro pembeni ya kitovu chako wala kwa kuyaacha maziwa nje. Michuzi naomba umpe ray c na wengineo picha ya miss tanzania teresia wa the 60’s
Dada RayC inatosha sasa, tumeona hivyo viembe vichanga acha wewe embe dod waonyeshe. vititi vidogho, viko bruised halafu bado unaviminya kuteonyesha cleavage, inatosha sasa hebu vifiche hivyo vidakwa. Kiuno unacho, basi kitumie, mbona kina Stara hawatuenyeshi mambo flani. Dada nakufagilia lakini ficha viembe hivyo ah!
Huu ndiyo utamaduni wa mwafrika?watoto wetu wanajifunza nini katika picha hii?
Hivi unataka kuniambia Stara ataonyesha nini , tumbo na ziwa? mwacheni dada Ray aonyeshe alicho jaliwa , atutumbuize na kututamanisha!
Safi sana! Natamani…..lakini…blauzi utafikiri ni sidiria! Na sketi mkanda wa kiuno! Yangu macho!
HIla inabidi aache make amezeeka hajui kuwa siku hizi kuna watoto wadogo wenye mambo mapya. Yakwake tumeyaona miaka nenda rudi na tumeyachoka. Kwa kifupi yameishachuja.
Dada Ray C jaribu basi kubadili mtindo wa mavazi, kwani kila unapovaa ni lazima uache kuanzia chini ya matiti hadi kiunoni wazi?
nakupiga marufuku mkuonyesha titi tena ! haifai haifai, tunataka nyimbo sio uchi



















