Gallery
Sukuma Labor Songs from Western Tanzania: We Never Sleep We Dream of Farming (2010)
Kuna imani potofu nyingi sana kuhusu maumbile, kina cha uke wako na namna ya kutunza afya ya uke. Baadhi ya watu wanafikiri uke ni mrefu kuelekea tumbo la chakula.
Kama na wewe umekuwa ukijiuliza maswali mengi kuhusu afya na maumbile ya uke wako, endelea kusoma makala hii utapata majibu yote.
Uke wako siyo mrefu kihivyo kama unavowaza. Kikawaida urefu wa uke kuelekea ndani ni nchi tatu mpaka 6. Ni sawa na urefu wa mkono wako. Kina cha uke kinaweza pia kubadilika katika nyakati tofauti mfano wakati wa tendo la ndoa na kipindi cha kujifungua.
Wakati wa tendo la ndoa, mwili huamshwa na hisia za mapenzi na hivo kupelekea kina cha uke kuongezeka ili kuruhusu uume kuingia vizuri.
Baada ya kuzaa uke wako unatakiwa kurejea hali ya mwanzo baada ya siku chache. Japo uke uke wako hautarudi kwa asilimia mia kama mwanzo ila misuli itajikaza na utaweza tena kufurahia tendo.
Mazoezi ya kegel yatakuzaidia kukaza misuli ya ndani ambayo inashikilia uke, kibofu, kizazi , na utumbo. Mazoezi ya kegel pia yatakusaidia kuongeza uwezo wa kubana mkojo na kuzuia kutokwa na mkojo na kinyesi bila kujitambua.
Jibu ni hapana. Maumbile ya uke, mashavu ya uke, na urefu wa kuma unatofautiana kwa kila mwanamke. Uke wako unaweza kuwa mweusi kuliko maeneo mengine ya mwili, kisimi chako chaweza kuwa kidogo na hiyo ni kawaida, usijilinganishe na mwanamke mwingine.
Kuwa na kutokuwa na nywele zehemu za siri hakuna athari yoyote kwa afya ya uke. Ila tu kuna changamoto unaweza kupata kwa kunyoa mavuzi kulingana na aina ya kifaa ulichotumia. Unaweza kupata
Najua waweza kuwa unashtuka sana na kupata hofu pale unapopata harufu fulani ukeni. Ni kawaida kabisa
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndio uanzishe biashara na ndio sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha,Ukweli ni kwamba mta…



















