Gallery
Wakati msanii wa filam Bongo Move Irene Uwoya hivi karibuni akionekana kushuka sana kwa kiwango chake cha uigizaji ameibuka na kudai kua msanii mwezake Jackline Wolper bado kiwango chake cha kucheza move bado ni kidogo na hawezi kumshirikisha katika move yake wala yeye hawezi kushiriki move yake, “Nadhani unajua mimi na huyo msanii tukoje hivyo…
Akizungumza kwa hisia kali katika kipindi cha Take One cha Clouds TV kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema, alisema kabla ya kuachana na mwanaume huyo wa Kongo alipigwa picha za utupu kwa madai kuwa atakuwa akiziangalia kipindi atakachokuwa peke yake jambo ambalo hakuliafiki.
Wolper alieleza zaidi kwamba licha ya picha hizo kupigwa kitu kingine kilichoumiza moyo wake ni pale alipobaini kwamba huyo Mkongo alikuwa mume wa mtu, hivyo aliamua kuachana naye licha ya vitisho vya kuchafuliwa na picha hizo alizopigwa.
“Kabla ya kuachana naye alikuwa na tabia ya kunipiga picha za utupu, baadhi nilizifuta lakini baada ya kuachana akasema kwamba kuna kitu atakifanya ambacho sitaamini, nahisi zitakuwa ni hizo picha,” alieleza Wolper.
Hata hivyo, alisema amewasiliana na mwanasheria wake juu ya jambo hilo ili ikitokea mwanaume huyo akaamua kumchafua kwa kusambaza picha hizo za utupu sheria ichukue mkondo wake.
Wolper alisema mambo ya zamani yameshapita na sasa wanaangalia maisha ya mbele.
Jacqueline Wolper (5890+), Wema Sepetu (14,130) na Elizabeth Michael aka Lulu (9,440+) ndio waigizaji wa filamu wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo. Hivyo, kwa kutazama picha hizi, nani ni malkia wa Instagram kati ya hawa?
Katika picha ni Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Jackline Wolper.
Siku mbili zilizopita, kumeibuka mtafaruku baina ya wapenzi wa zamani, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na mwanamuziki Harmonize.
SIKU mbili zilizopita, kumeibuka mtafaruku baina ya wapenzi wa zamani, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na mwanamuziki Harmonize.
Habari zinadai kuwa Sarah amezimika kwa Mwarabu Fighter hadi kufikia hatua ya kumpangishia nyumba na huduma zote alizokuwa anapata Harmonize sasa amezihamishia kwa Mlinzi huyo wa Diamond. Sarah na Wolper wamekuwa kwenye vita ya mapenzi huku ikidaiwa chanzo ni penzi la Harmonize, lakini baada ya tetesi hizo za usaliti kusambaa mitandaoni, mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni alimsaka Wolper na kumuuliza nini maoni yake juu ya ishu hiyo na ndipo timbwili lilipoanza.



















