Gallery
7/27/2019 ANNUUR 1093 1/16ISSN 0856 – 3861 Na. 1093 DHULQADAH 1434, IJUMAA , OKTOBA 4-10, 2013 BEI TShs 500/=, KshsSauti ya Waislamuwww.annuurpapers.co.tzWAISLAMU na raiaw…
Baada ya kumaliza elimu yake hiyo, alirudi Chicago na kukubali kuchukua nafasi ya kazi katika kampuni ya Sidley Austin, halafu akaja kuwa mmoja kati ya wafanyakazi wa meya wa Chicago Richard M. Daley, halafu baadaye akafanya kazi katika
Michelle Obama ni dada wa Craig Robinson, kocha wa mpira wa kikapu wa Oregon State University. Alikutana na Barack pale alipojiunga na Sidley Austin. Pale Barack Obama alipochaguliwa kuwa kama Seneta, familia ya Obama ikachagua kuishi mjini Chicago South Side kuliko kuishi mjini
Maza Michelle kuma yana alfaharin ayyukan da ya rubuta. A cikin yakinsa akwai litattafai 2, sunayen sune "Mafarki daga Ubana" da kuma "La'anin Fata". Ba da da ewa ba haske zai ga 3rd – abubuwan tunawa da Barack Obama game da lokacin da yake shugaban kasar. Kamar yadda sakataren sakatare ya ce, an tsara aikin ne don 2019. Kamar yadda aka tsammanin, bayan an fitar da littafin, za a gudanar da zagaye na ci gaba a fadin kasar, kuma za a bayar da miliyan 1 a cikin shirin ilimi na farko.
hicho kimama cha kizungu kilienda kuuza sura tu hata hakisikilizi hotuba anatext anajipiga picha mara kamganda Obama haya first lady kakatoa nishai kaone kalivyoona aibu
Nyie mnatafsiri tu vibaya….huyu mwanamke ana akili sana, wako kwenye msiba lakini obama na huyo mama walijisahau kama wako kwenye sherehe.Mkewe aliingia kati yao ili wasiendelee na kelele zao…wasikilize kilichowapeleka hapo
hiyo kitu aliyofanya Michelle inaitwa "cock block" lol
Hahahaha well done Michelle… Iyo inaitwa abiria chunga mzigo wako ata mimi ningefanya hivo hivo
kamkomesha huyo mama kwanza alikuwa hajui kama obama yuko na mkwe kazi kuonyesha picha hovyo hovyo tu kanikera huyo ni rais kujipendekeza tu
HUYO KIMAMA CHA KIZUNGU NI Asst secretary wa Obama hata kipindi kile alivyo kuja tanzania alikuwa nae. hivyo mama anachunga mzigo asije pigwa changa la macho ugenini.
Michelle Obama alirekodiwa akisema uhusiano wake na rais huyo wa zamani wa Amerika Barack Obama ulikuwa na changamoto zake lakini wamezishinda pamoja.



















