Gallery
Nandy aliachia EP mobili kwa jina ‘Wanibariki’ pamoja na ‘Taste’, zote zikifanya vizuri katika chati za miziki Afrika Mashariki.
Alichia noma tano na zote zikiwafanya vizuri kama vile 'Naanzaje'
Wiki hii picha za msanii mwingine wa nchi hiyo, Bahati zimeonekana kuenea mitandaoni huku baadhi ya watu wakijua kuwa amefunga ndoa na kumtakia Baraka zote ndani ya ndoa hiyo.
Miezi kadhaa iliyopita pia hitmaker huyo wa ‘Number 1’ ameshaalikiwa kwenye show corporate kuburudisha wafanyakazi wa benki na taasisi zingine pamoja na watu binafsi na zote hizo zimemuingizia fedha nyingi. Pamoja na show, Diamond amekuwa akiingiza fedha nyingi zaidi kwenye malipo ya ringtones ambapo kila baada ya miezi mitatu amekuwa akiingiza si chini ya shilingi milioni 20. Kwa mujibu wa Push Mobile, akaunti ya Diamond kwenye kampuni hiyo ndio inayoingiza fedha nyingi kuliko msanii mwingine yeyote wa Bongo Flava.
Hits zake mbili, Joto Hasira na Yahaya kutoka kwenye albam yake hiyo, zimebadilisha maisha yake na kumfanya kuwa mwanamuziki mwenye show nyingi zaidi pia. Lady Jaydee ametumbuiza kwenye karibu show zote za Kili Music Tour ambako ameingiza shilingi milioni 25.
Tangu aachie wimbo wake mpya Tupogo, tayari Ommy ameshaingiza shilingi milioni 50. Kwenye show yake ya hivi karibuni ya Tupogo Night iliyofanyika Club Billicanas, Ommy alipeleka nyumbani shilingi milioni 10 baada ya kukata gharama zote. Watu 1,770 walihudhuria show hiyo.
Alipozungumza na gazeti hili hivi karibuni staa huyo alisema kuwa, anapenda kuishi vizuri na yuko tayari kufanya kila linalowezekana ale vizuri, aishi pazuri na ikibidi huduma zote za msingi azipate.
Kuna wasanii ni wa muda mrefu, lakini hawachuji. Hata kama wakipotea kwenye game kwa muda mrefu, akirudi na kufanya kazi moja tu, anarudi juu tena kama vile alikuwa ulingoni siku zote.
Gazeti la Mtanzania “Fikra Yakinifu” ni gazeti makini linalogusa maisha ya mamilioni ya watanzania wa rika na jinsia zote. Mtanzania ni gazeti la kitaifa la kila siku linajivunia rekodi ya kuwa huru na kuaminika kubeba Habari, Makala na chambuzi, siasa, uchumi, elimu, michezo na burudani zenye ajenda za watanzania katika mtazamo wa kitanzania.
Siku mbili zilizopita msanii Zuchu kutokea WCB aliweka rekodi ya kuwa msanii wa kike aliyetazamwa sana kwenye mtandao wa Youtube Afrika Mashariki baada ya video zake zote kutazamwa takriban mara Milioni 200 kwenye mtandao huo.



















